Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa
kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen
Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (kulia)
akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na
Madini Mhe. Stephen Masele (Kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake
No comments:
Post a Comment