Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, August 7, 2014

MBEYA YETU BLOG NA EBONY FM ANA KWA ANA WAPANGA MIKAKATI YA USHIRIKIANO.



Kutoka Kulia ni Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Blog na Msimamizi wa Mtandao huo ambao unamilikiwa na Tone Multimedia Group ambaye pia ni Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni hiyo Joseph mwaisango, Gasper Kutoka Ebony FM, Ray Kutoka Ebony FM, Bony Kutoka Ebony FM na Fredy Anthony Njeje Kutoka Tone Multimedia Group .
Waandishi wa Habari kutoka Mbeya yetu na Ebony FM wakishow Love
Kama kawaida Mambo ya Ukodaki yanaendelea 
Waandishi wa Habari kutoka Ebony FM na Mbeya yetu wakiendelea Kubadilishana Mawazo
Mtangazaji kutoka Ebony FM Bony akirusha Tukio moja kwa moja kutoka viwanja vya nane nane
Kutoka kulia ni Fredy Anthony Njeje akihojiwa moja kwa moja na Bony Kutoka Ebony FM juu ya mambo mbali mbali ndani ya Nane nane.

Picha na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment