Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, August 7, 2014

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA WAPONGEZA WANANCHI KWA KUJITOKEZA KWENYESHEREHE ZA NANE NANE MBEYA




Kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Mh. Mussa Zungiza akiongea jambo na  Bi. Katitwa ambaye ni mtaalam wa Kilimo katika Banda lao la Jiji
Baadhi ya Watu wakipata mafunzo mbalimbali katika Banda la Jiji
Elimu Bure ya Kilimo Bora ikiendelea kutolewa
Muonekano wa Banda la Jiji kwa ndani
Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata elimu mbalimbali katika Banda la Jiji.
Baadhi ya  vitu ambavyo vinauzwa ndani ya Banda Jiji Mbeya
Wataalam wa Ardhi na Mipango miji wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaopenda kujua juu ya mipango miji na Umiliki wa Ardhi
Wa kwanza kulia ni Justina Mwaisango ambaye alikuwa anatoa elimu Bora ya ardhi kwa moja ya watu waliofika kutembelea Banda la Jiji Mbeya 
Wa kwanza Kulia ni Javes Lyowa mtaalam wa maliasili akitoa maelezo ya kina Juu ya ujenzi bora na kutoa baadhi ya taratibu za ujenzi bila kuharibu maliasili.

Na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment