Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Friday, July 11, 2014

WATANZANIA WANAOISHI NCHI YA UINGEREZA WAKUTANA NA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano  ili kuzungumza na watanzania waishio Reading
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira  kutoka kwa watanzania waishio Reading nchini Uingereza  kabla ya kuzungumza nao jana kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio Reading, Hussein Chang'a.

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakisalimiana na baadhi ya watoto na wazazi  waliohudhuria mkutano kati yake na watanzania waishio Reading Uingereza jana Julai 10, 2014

No comments:

Post a Comment