Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Sunday, July 6, 2014

TAMASHA LA UMOJA KWANZA LA UPLANDS LAWAVUTIA WAKAZI WA MAKAMBAKO


 Cogo lee Team Wakifanya yao On Stage Makambako Live



 Sniger akitupia mistari yake na Ngoma kali ya Serebuu

 Uplands Fm Staff Live Mjini Makambako Njombe tz

 Wagumu wa HIP HOP Toka Makambako Wakikamua Bila Kutumia hirizi Stejini Live



 Mwaka ze Boy mkali wa Extra Flavour Toka Uplands Fm Kulia Akiwa na Dada Yake



 Sunday Bavuga Kny. Meneja Uplands Radio na Mhariri Mkuu
 Uplands fm Lady team
 PSI Mpango mzima
 Steven Ngole[Steve the Boss]

 Msanii Kapesa Anayetamba na Kibao Chake cha Ugumu wa Maisha Akiwasili Mjini Makambako

 Msanii Tiery Passion Toka Njombe Tz






 Na Gabriel Kilamlya Njombe

Baada ya Kufanikisha Tamasha Kubwa Mjini Igwachanya Wilaya ya Wanging'ombe Juni 21 Mwaka huu Uplands Fm radio Imetia Maguu Kwenye Mji wa Kibiashara Mjini Makambako julai 5 Mwaka Huu na Kufanya Tamasha Kubwa la Aina Yake Lililojaza Mashabiki Kibao KAtika Uwanja wa Polisi Makambako Njombe.

Kufanyika Kwa Tamasha Hilo Mjini Makambako ni Muendelezo wa Matamasha Yaliyofanyika Wilayani Ludewa,Makete na Wanging'ombe Huko Igwachanya Katika hAraKaTi za Kupambana na Maambukizi Mapya ya Virusi Vya Ukimwi Katika Kuunga Mkono Juhudi za Serikali Kukabiliana na Ugonjwa Huo Ambao Umeonekana Kushika Kasi Katika Mkoa wa Njombe Kwa Asilimia 14.8 na Kuongoza Kitaifa Kati ya Mikoa yote Tanzania.

Kituo Cha Radio Uplands Fm toka Njombe Kimeamua Kuja Kwa Mtindo wa Kufanya Matamasha katika Wilaya zote za Mkoa wa Njombe Kwa Kushirikiana na Wadau Mbalimbali Wakiwemo PSI-Kupitia Salama Kondom,Benki ya Wananchi Njombe NJOCOBA pAMOJA NA  wadau Mbalimbali Kwa Kaulimbiu ya UMOJA KWANZA UKIMWI ZIRO 2014.

Baada ya Kufanikisha Tamasha Hilo Mjini Makambako Tamasha La Mwisho Litafanyika Mjini Njombe Kwa Kuhitimisha Safari Hiyo Ndefu Iliyoanzia Wilayani Ludewa.


Pamoja na Jitihada Hizo Lakini Pia Lengo la Tamasha Hilo ni Pamoja na Kukuza Sanaa Kwa Wasanii Mkoani Njombe Kwa Kuzunguka Nao Katika Matamasha Hayo.

ENDELEA KUFUATILIA MFULULIZO WA PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI HAPO CHINI toka Kwa Wasanii Wakali wa Mkoa wa Njombe Kwa Makambako na Njombe Waliofanya Vyema Katika Tamasha Hilo.....
............

 Ramadhani Kokoto Toka Uplands Fm

 Msanii Sniger Akishuka Kwenye Basi Tayari Kwa Kulivaa TAmasha La Umoja Kwanza Makambako


 Msanii wa Muziki na Maigizo na Mbunifu wa Mitindo Anajiita Cogo Lee Toka Njombe Kibena Tz

Dj Duke[Geofrey Liduke] Kulia Waridi Maseko na Zenobia Mtei Uplands Fm Team

 Safari ni Safari Tuuuuuuuu

 Mzee wa Makablashaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....Geble Gabriel Elias Kilamlya.. Mmiliki wa Mtandao Huu.
 Kulia ni Dj Jose Toka Ice Fm Radio Makambako na Dj P'nyeeee[phly]Toka Uplands Fm Radio Njombe
 PSI Ndio mpango Mzima Katika Matamasha ya Umoja Kwanza
 Steve the Boss Akifanya Yake on Stage

 Wasanii toka Njombe Wakiimba Wimbo wa Umoja Kwanza Mjini Makambako Live

 Msanii Don maswager-chinja-chinja boy akitupia swager zake on stage
 Maofisa wa Benki ya Wananchi Njombe NJOCOBA Tawi la Makambako Wakiielezea Benki Hiyo Kwenye Tamasha la Umoja Kwanza la Radio Uplands Fm Ambao ni Moja ya Wadhamini wa Tamasha Hilo.

No comments:

Post a Comment