Monday, July 7, 2014
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO DKT PINDI HAZARA CHANA ATEMBELEA HOSPITALI YA MAKAMBAKO
DKT CHANA HAPA YUPO OFISI YA MGANGA MKUU AKISAINI KITABU CHA WAGENI
MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MAKAMBAKO PEPETUA NGONGI AKIWA KWENYE ZIARA YA WAZIRI HUYO
MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA MAKAMBAKO DR DISMAS VYAGUSA AKITOLEA MAELEZO KUHUSU BOHARI YA MADAWA
BOHARI YA MADAWA YA HOSPITALI YA MAKAMBAKO INA DAWA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA WAGONJWA.
WODI JIPYA LA UZAZI AMBALO LINAENDELEA KUJENGWA KATIKA HOSPITALI HIYO NA HAPA NAIBU WAZIRI NDO ANATOKA BAADA YA KUKAGUA JENGO HILO.
HAPA NI WODI LA WATOTO
NAIBU WAZIRI AKITEMBEZWA KUWATEMBELEA WAGONJWA MAWODINI NA KUWAPATIA POLE WAGONJWA
MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA MAKAMBAKO DR DISMAS VYAGUSA AKISOMA RISALA KWA MGENI RASMI
MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MAKAMBAKO PEPETUA NGONGI AKIZUNGUMZA NA WATAALAMU WA HOSPITALI HIYO.
WATUMISHI WA HOSPITALI YA MAKAMBAKO WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO DKT PINDI HAZARA CHANA AKIWA KATIKA HOSPITALI HIYO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment