Tuesday, July 29, 2014
AFARIKI AKIWA KWENYE MLANGO WA NYUMBA YA UGENINI MAJIRA YA SAA KUMI NA MOJA USIKU AKITAKA KUOMBA MSAADA WA KUPELEKWA HOSPITALI BAADA YA KUZINDIWA USIKU
MSIBA UNAELEKEA NYUMBANI KWAKE HUKO KIJIJI CHA NUNDU
HILI NI GARI AMBALO LIMEBEBA MAITI YA MKAZI WA NUNDU ALIYEFARIKI NJE YA MLANGO WA NYUMBA YA BWANA LUSUNGU MFIKWA
HAPA NDIPO ALIPOKUTWA AMEFARIKI DUNIA AMBAPO MAREHEMU AWILO LUPENZA ALITAKA KUOMBA MSAADA WA KUKIMBIZWA HOSPITALI NA BAADA YA KUGONGA MLANGO WENYE NYUMBA WALICHELEWA KUAMKA NA YEYE AKAWA AMEZIDIWA NA HATIMAE AKAFARIKI NA WAO KUAMKA ALFAJILI WAKAMKUTA NA HATIMAE KUTOA TAARIFA KWA VIONGOZI WAO.
MAREHEMU AWILO LUPENZA ALIONEKANA KUKOHOA DAMU TANGU ALIKUWA AMETOKEA AMBAKO HAIJULIKANA ALITOKEA WAPI USIKU HUO HUENDA ALIKUWA KILABUNI NA HII IMEBAINIKA NA WAKAZI WA ENEO HILO BAADA YA KUFUATILIA ALIKOTOKA NJIANI WAKAZIONA DAMU NA MAKOHOZI YALIOCHANGANYIKANA NA DAMU AMBAPO KWA MUJIBU WA MAELEZO YAO NI KWAMBA DAKTARI AMESEMA MAREHEMU HUYO ALIKUWA ANATATIZO LA MAPAFU NA ALIZUIWA ASITUMIE SIGARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment