HUU NI MFANO TOSHA KWA AKINA DADA TUNAKWENDA NA WAKATI BWANA HII NDIYO FASHENI NA NDIYO HALI HALISI ILIVYOKUWA
MTANGAZAJI WA UPLANDS FM PILLY NYENJE AKIWA NA MFANYAKAZI MWENZAKE WARIDI MASEKO WAMETOKEREZEA VIZURI NDANI YA UKUMBI WA DOSMEZA WAKIBURUDIKA NA WATOTO NA HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA AKINA DADA NA KUSEMA TUNAKWENDA NA FASHENI KWA KUVAA SURUALI ZA KUBANA.
HIZI NI CHEREKOCHEREKO
KUNDI LA WASANII KUTOKA KIBENA NJOMBE WAKISHIRIKI KATIKA BURUDANI KWENYE SHEREHE ZA IDD ZILIZOFANYIKIA UKUMBI WA DOSMEZA
HAWA NI WATOTO MBALIMBALI WAKIJUMUIKA KWA PAMOJA KUFUHIYA BURUDANI YA MUZIKI WAKIONGOZWA NA MAMA NYEUPE
SASA JE KWA UPANDE WA MAVAZI WATOTO WANAJIFUNZA NINI MBONA WATOTO HAO WAMEVARISHWA MAVAZI YENYE MAADILI LAKINI WENGINE NI WAZIMA KABISA HAWAJAZINGATIA HILO.
WA KWANZA KUTOKA UPANDE WA KULIA NI WARIDI MASEKO NA WA PILI KUTOKA KULIA NI PILLY NYENJE MAARUFU KWA JINA LA MAMA NYEUPE WAKIWA WAMEPENDEZA NDANI YA UKUMBI WA DOSMEZA VIJANA IGENI MFANO HUO.
WATOTO WADOGO WAMPENDA SANA MAMA NYEUPE KWA KUWAANDALIA SHEREHE NZURI YA BURUDANI NA KUONESHA VIPAJI VYAO
HAPA NI BURUDANI KWA KWENDA MBELEE
No comments:
Post a Comment