Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Tuesday, June 3, 2014

LUDEWA FC KUICHAPA UPLANDS FC 3-1 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI NA MBUZI BEBERU KUJINYAKULIA





 AFISA HABARI MKOA WA NJOMBE BWANA CHRISTOPHA AKIKABIDHI MBUZI HUYO KWA WASHINDI WA MCHEZO WA MPIRA WILAYANI LUDEWA WA KWANZA KUTOKA UPANDE WA KULIA NI SUNDAY BAVUGA AMBAE NI MWENYEKITI WA TAMASHA LA UMOJA KWANZA TOKA UPLANDS FM RADIO WA PILI MUWAKILISHI WA TIMU YA LUDEWA FC NA ANAEKABIDHI NI AFISA HABARI MKOA WA NJOMBE.



TAYARI TIMU YA LUDEWA FC IMECHUKUA MBUZI BAADA YA USHINDI KATIKA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU.



 WACHEZAJI WA TIMU YA UPLANDS FM RADI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WACHEZAJI WA TIMU YA LUDEWA FC SIKU YA TAMASHA LA UMOJA KWANZA.
 HII NI TIMU YA LUDEWA FC WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

 TIMU YA UPLANDS RADIO WACHEZAJI WAKE WAKIFANYA MAZOEZI KABLA YA KUINGIA UWANJANI

 LUDEWA FC WAKIFANYA MAZOEZI KABLA MCHEZO KUANZA
 ELMETHEW KIKA  WA UPANDE WA KUSHOTO NA WA KATIKATI AFISA HABARI MKOA WA NJOMBE ALIYEWAKILISHA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KEPTAIN MSTAAFU ASERI MSANGI KATIKA KUUNGA MKONO JITIHANDA ZA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NA WA KWANZA KUTOKA UPANDE WA KULIA NI KEPTAIN WA TIMU YA LUDEWA FC NICKSON MAHUNDI WAKIENDELEA KUANGALIA KANDANDA DHIDI YA UPLANDS NA LUDEWA FC


 TIMU ZOTE MBILI UPLANDS NA LUDEWA FC WAKIPEANA MIKONO KABLA YA KUANZA MECHI
 WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BONGOFRAVER KUTOKA WILAYA YA LUDEWA WAKIFANYA MAONESHO KATIKA UWANJA WA BURUDANI KWENYE TAMASHA LA UMOJA KWANZA LILILOANDALIWA NA RADIO UPLANDS FM KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI BINAFSI NA SERIKALI YA MKOA WA NJOMBE KUPIGA VITA ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI.
WA PILI KUTOKA UPANDE WA KULIA NI AFISA HABARI MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA AMBAE AMEKWENDA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE.

Timu ya Ludewa fc imefanikiwa kuichabanga goli tatu kwa moja dhidi ya Uplands fc katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Ludewa  mjini na kujinyakulia mbuzi aina ya beberu kwa ushindi huo.

Mbuzi huyo ambae aliandaliwa na  kampuni ya Uplands Radio kutoka Njombe mjini aliifanya timu ya Ludewa kuonesha kipaji chao katika kusakata kabumbu siku ya tamasha la Umoja kwanza lililoandaliwa na Uplands fm Radio kwa kushirikiana na serikali na taasisi mbalimbali.

Tamasha hilo lililenga kuhamasisha jamii kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI amba lilibeba ujumbe usemao Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI NI Zero Ambalo linatarajia kuendelea tena katika wilaya ya Makete mkoani Njombe juma mosi ya hiki hii .

No comments:

Post a Comment