BAADA YA GARI LA SERIKALI KUTUMBUKIA SHIMONI, VIJANA WATWANGANA MAKONDE KUGOMBEA HELA ZA KULINASUA
Shimo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.Gari la serikali likiwa limekwama kwenye shimo hilo.Muonekano wa shimo ulivyo.Vijana wakilisukuma gari hilo.Ugomvi ulivyoibuka katika kugawana fedha iliyotolewa na kujitayarisha kuondoka.
No comments:
Post a Comment