Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Wednesday, April 23, 2014

MAFURIKO YAKOSESHA AMANI KYELA MKAONI MBEYA ENEO LA KAJUJUMELE



Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira Muda huu
 Baadhi ya watu wakigangaika kupita juu ya maji hayo yaliyotokana na Mafuriko

 Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa wanashuhudia Mafuriko hayo muda huu
 Gari Likiwa limekwama katika tope lililotokana na Mafuriko hayo, hili ni eneo la Bujonde 
Picha kwa Hisani ya Kaka yetu mdau Mkubwa wa Mbeya yetu Blog Felix Mwakyembe

Na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment