Kaimu
Kamishna wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Wilson Ruge
akizungumza na Waandishi wa Habari wakati ufunguzi wa mafunzo wa
Waandishi wa habari wa Masuala ya ardhi nchini juu ya kutambua umuhimu
wa Kulipa Kodi ya Ardhi kwa Wizara ya Ardhi na Kodi ya Majengo kwa
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasilino kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mboza Lwandiko akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa
mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Wizara
Afisa
Msaidizi wa huduma kwa mlipa kodi Maya Magimba akitoa somo kwa
Waandishi wa Habari juu ya umuhimu wa kulipa kodi ya majengo na
kutofautisha kodi hiyo na kodi ya Ardhi maya ambaye aliwataka waandishi
wa habari kutumia mafunzo hayo kwa ajili ya kuwa elimisha Watanzania
hili waweze kulipa kodi za ardhi kama inavyohitajika kwa mujibu wa
sheria
Afisa
Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Denis
Masami akifafanua masuala muhimu ya Ardhi kwa Waandishi wa Habari
Mmoja ya Waandishi wa Habari akiuliza swali kwa wakufunzi kuhusu ulipaji wa kodi
No comments:
Post a Comment