Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya
Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ngw’ana
Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama na katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora, Hassani wa
Kasubi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya
Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ngw’ana
Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya
Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ngw’ana
Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama na katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora, Hassani wa
Kasubi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wabunge, Mawaziri na viongozi wa
mkoa wa Tabora kwenye uwanja wa ndege wa Tabora baada ya kuzungumza na
Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku
kwenye ukumbi wa Isike Ng’wana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment