Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam
leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa
Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali
Pengo na waumini wengi wengine.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es
salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay
Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini
wengi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam.
Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre
Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la
Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi
wengine.
:
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika
Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16,
2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na waumini
wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada
ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo
Jumapili Aprili 16, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuamkia
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu
Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka nje na muumini kijana baada ya kuhudhuria ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
mmoja wa watawa baada ya kuhudhuria ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment