Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Manispaa ya Kigamboni
jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya wialaya ya Kigamboni Januari
3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wialya ya Kigamboni
baada ya kuwasili wilayani humo kwa ziara ya siku moja. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment