Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo ya mradi wa maji kutoka kwa mkurugenzi wa Halimashauri ya Madaba Bwana Safi Mpenda Waziri Mkuu ameuzindua mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya Songea, Mradi
ambao una uwezo wa kutoa lita 200000 (laki mbili) na kuhudumia zaidi ya
watu 5000 (Elfu tano) katika Halmashauri ya madaba, Songea
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya maji Bibi Leonara Kibuno ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa
mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya
Songea,Mradi ambao una uwezo wa kutoa lita 200000 (laki mbili) na
kuhudumia zaidi ya watu 5000 (Elfu tano) katika Halmashauri ya madaba,
Songea
Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiwa hutubia wananchi wa halimashauri ya Madaba.Picha na Chris Mfinanga
No comments:
Post a Comment