WALEMAVU WA KUSIKIA NA KUONGEA {VIZIWI } WAKITENGENEZA KOMPYUTA KATIKA SHULE YA VIZIWI MJINI NJOMBE
HAPA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WAKIPATIWA ELIMU YA ICT NA WENGINE TAYARI WAMEKWISHAANZA KUTENGENEZA KOMPYUTA BAADA YA KUPATA MAFUNZO HAYO KWA SIKU YA TISA SASA.
KULIA NI MKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA TANZANIA BWANA KUDRA MUNISI NA WA UPANDE WA KUSHOTO NI MKUU WA KITENGO CHA TECHNOLOJIA SAIDIZI WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA AMBAYE PIA NI MKUU WA IDARA YA SAIKOLOJIA NA ELIMU MAALUMUCHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA.
WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA KUSIKIA WAKIWA DARASANI KATIKA SHULE YA VIZIWI NJOMBE WAKIENDELEA KUPATIWA MAFUNZO YA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO.
HIZI NI KOMPYUTA WANAZOTENGENEZA NA KUJIFUNZIA
CHRISTINA MUSANCHE HEAD COMMUNICATION OF INFORMATION UNESCO NATIONAL COMMUNICATION AKIZUNGUMZA AKIWA KWENYE DARASA LA MAFUNZO YA WALEMAVU HAO
MAFUNZO HAYO YANATOLEWA KWA USHIRIKIANO WA UNESCO NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
MKURUGENZI WA SHULE YA VIZIWI NJOMBE MCH.ALPHONCE NGAVATULA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUTEMBELEWA OFISINI KWAKE
HUYU NI MLEMAVU WA KUSIKIA NA KUONGEA KUTOKA MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM AMBAYE NI MWALIMU WA MAFUNZO HAYO KWA WALEMAVU WENZAKE KATIKA SHULE YA VIZIWI NJOMBE
NA HUYO NAYE NI MLEMAVU WA KUSIKIA NA KUONGEA KUTOKA MAKAO MAKUU AMBAYE PIA NI MKUFUNZI WA MAFUNZO HAYO KWA WALEMAVU WENZAKE WA SHULE YA VIZIWI NJOMBE
DADA HUYU NAYE NI MKUFUNZI KUTOKA MAKAO MAKUU DAR ES SALAAMU AMBAYE PIA NI MELEMAVU WA KUSIKIA NA KUONGEA
HAWA NI WANAFUNZI WA MAFUNZO HAYO WAKIFAFANUA JUU YA WALIVYONUFAIKA NA MAFUNZO YA UFUNDI NA UTALAAMU WA ICT
KIJANA MWENYE ULEMAVU WA KUSIKIA NA KUONGEA AKIREKEBISHA INTERNATE KATIKA OFISI YA MKURUGENZI WA SHULE YA VIZIWI NJOMBE MCH.ALPHONCE NGAVATULA.
No comments:
Post a Comment