WAKATI MSAFARA WA WAZIRI MKUU HAUJAWASILI MAGARI YA MKOA WA NJOMBE YALIKUWA YAKISUBIRIA ENEO LA KUMPOKEA WAZIRI.
MUHASHAMU ASKOFU WA JIMBO KATHOLIKI LA NJOMBE ALFRED MALUMA AKIWA NAE AMESHIRIKI KUMPOKEA KIONGOZI HUYO WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KASSIMU MAJALIWA NA HAPA ANASALIMIANA NA BAADHI YA VIONGOZI.
AFISA MIPANGO WA MAKAMBAKO AKIWA AMEBANWA NA WAZIRI MKUU JUU YA VIWANJWA KUTOLIPWA FIDIA KWA WANANCHI MAKAMBAKO.
No comments:
Post a Comment