Sunday, January 29, 2017
MIKOA YA NJOMBE NA IRINGA WAFIKIA 98% YA UTOAJI WA VYETI VYA KUZALIWA
WAZIRI WA MAMBO YA KATIBA NA SHERIA HARISON MWAKYEMBE BAADA YA KUWASILI MKOA WA NJOMBE KATIKA ENEO LA UKUMBI WA CHUO CHA MAENDELEO NJOMBE MJINI AKISALIMIANA NA WAKUU WA WILAYA ,WAKURUGENZI NA WATALAAMU MBALIMBALI WA MIKOA YA NJOMBE NA IRINGA
WAZIRI WA MAMBO YA KATIBA NA SHERIA HARISON MWAKYEMBE AKIWA UKUMBINI
MKUU WA MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA OLE SENDEKA
MKUU WA WILAYA YA NJOMBE LUTH MSAFIRI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment