MWENYEKITI WA SERIKALI YA KIJIJI CHA LUNGUYA MTWANGO AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA KUMUOKOA KIJANA ALIYEIBA BAISKELI NA KUKAMATWA NA WANANCHI AMBAO WALIANZA KUMSHAMBULIA KWA MAWE NA VIRUNGU KABLA MWENYEKITI HUYO HAJAFIKA.
BAISKELI ILIYOIBIWA NDIO HII IKIWA KWENYE OFISI YA SERIKALI YA KIJIJI HICHO WAKATI MTUHUMIWA AKIPELEKWA KITUO CHA POLISI MAKAMBAKO.
No comments:
Post a Comment