MKUU WA WILAYA YA NJOMBE BI.LUTH ,MSAFIRI AKIWA KWENYE ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE
MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI PELUHANDA AKIWAONGOZA WAGENI
UCHAKAVU WA MADARASA KATIKA SHULE YA MSINGI PELUHANDA
HILI NI DARASA JIPYA LILILOPO KATIKA SHULE YA MSINGI PELUHANDA AMBALO LINATARAJI KUZINDULIWA MWEZI JANUARY 2017
SHULE YA MSINGI PELUHANDA BAADHI YA MAJENGO YAPENDEZA KAMA HILO LA VYOO VYA KISASA
MRADI WA MAJI YA MTEGO KATIKA SHULE YA MSINGI PELUHANDA
HII NDIYO SAKAFU YA VCYUMBA VYA MADARASA ALIVYOAGIZA VIFANYIWE UKARABATI KUPITIA FEDHA ZINAZOPELEKWA NA SERIKALI KWAAJILI YA UKARABATI HUO
KITUO CHA KUKUSANYIA MATUNDA KILICHOPO NUNDU MJINI NJOMBE
AFISA KILIMO WA MJI ERNEST NGAPONDA AKITOA TAARIFA FUPI KWA MKUU WA WILAYA HIYO
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ANNE MAKINDA WAKIWA SHULENI HAPO WAKISIKILIZA KWA UMAKINI MKUU WA WILAYA AKIWAHUTUBIA HAWA WAKIDATO CHA TATU
WANACHI WA KIDATO CHA TATU NA CHA KWANZA
HIKI NI CHOO CHA MWALIMU WA SHULE HIYO LAKINI VIPO VYA KISASA VINAJENGWA WATAONDOKANA NA VYOO VYA MABANZI NA HUYO NI AFISA ELIMU SEKONDARI VENANCE MSUNGU BAADA YA KUTOKA KUKAGUA JENGO KUBWA LA NYUMBA YA WALIMU
HILI NDILO JENGO LA NYUMBA YA WALIMU AMBALO LINAENDELEA KUJENGWA NA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE
No comments:
Post a Comment