Mkurugenzi
wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas(wa pili kulia) akizungumza
wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Tanzania Bloggers Network(TBN)
uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar.
Mwenyekiti
wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim
Mushi(aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa
Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini
Dar leo
Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abba akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya bloggers.
No comments:
Post a Comment