Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Tuesday, October 25, 2016

NAIBU WAZIRI MASAUNI ATOA TATHIMINI YA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA


Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa anatoa Tathimini ya Utekelezaji wa Mkakati wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani wa kupunguza ajali za barabarani nchini ambapo ajali zimepungua kwa asilimia 10 kwa kipindi cha miezi sita tangu makakati huo ulipozinduliwa. Matokeo ya tathimini hiyo, inaonyesha kupungua kwa ajali na majeruhi nchini kwa kipindi cha miezi miwili baada ya kuzinduliwa kwa mkakati huo Agosti 4 mwaka huu. Kulia ni Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Fortunatus Musilimu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati alipokuwa anatoa Tathimini ya Utekelezaji wa Mkakati wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani wa kupunguza ajali za barabarani nchini ambapo ajali zimepungua kwa asilimia 10 kwa kipindi cha miezi sita tangu makakati huo ulipozinduliwa. Matokeo ya tathimini hiyo, inaonyesha kupungua kwa ajali na majeruhi nchini kwa kipindi cha miezi miwili baada ya kuzinduliwa kwa mkakati huo Agosti 4 mwaka huu. Kushoto kwa Naibu Waziri ni Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Fortunatus Musilimu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari wakati alipokuwa anatoa Tathimini ya Utekelezaji wa Mkakati wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani wa kupunguza ajali za barabarani nchini ambapo ajali zimepungua kwa asilimia 10 kwa kipindi cha miezi sita tangu makakati huo ulipozinduliwa. Matokeo ya tathimini hiyo, inaonyesha kupungua kwa ajali na majeruhi nchini kwa kipindi cha miezi miwili baada ya kuzinduliwa kwa mkakati huo Agosti 4 mwaka huu. Kulia meza kuu ni Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Fortunatus Musilimu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment