Katibu
wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam na kiongozi wa Kanisa la
Anglikana, Mchungaji,John Solom(aliyeshika kipaza Sauti) akisali
kuombea uwanja
wa ndege wa Terminal III unaoendelea kujengwa leo jijini Dar es Salaam
uliopo katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Mradi wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TAA), Mhandisi, Mohamed Milanga
akitoa maelekezo kwa viongozi mbalimbali wa dini jijini Dar es Salaam
leo walipotembelea na kuombea uwanja mpya wa ndege unaoendelea kujengwa
wa Teminal III uliopo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere.
Sheikh
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum akiomba dua
kuombea uwanja wa ndege wa Terminal III unaoendelea kujengwa leo jijini
Dar es Salaam uliopo katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam. Wengine ni Viongozi mbalimbali wa Dini.
Katibu Mkuu wa Kampuni wa Mamlaka ya Anga Tanzania, Jaji Ramdhan
Maleta(Mwenye tai Nyekundu) akitoa neno la Shukrani mara baada ya
kumaliza ziara ya viongozi mbalimbali wa dini waliotembelea katika
uwanja wa ndege unaoendelea kugengwa wa Terminal III jijini Dar es
Salaam leo.
Picha na Yasir Adam, Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment