MBUNGE WA JIMBO LA MAKAMBAKO DEO SANGA MAARUFU JA PEOPLE AKIHESABIA PESA ZA KUWACHANGIA WAALIMU WASTAAFU WA WILAYA YA NJOMBE WAKIWA KWENYE MAHAFARI YAO KUSTAAFU YALIYOANDALIWA NA CHAMA CHA WALIMU C.W.T.
AFISA ELIMU WA HALMASHAURI YA MAKAMBAKO MWALIMU BANE AKIMKARIBISHA MGENI RASMI AMBAYE NI MBUNGE WA JIMBO LA MAKAMBAKO DEO SANGA KUONGEA NA WALIMU HAO
WASTAAFU 14 WALIOKUWA KWENYE CHAMA CHA WALIMU WILAYA YA NJOMBE WAMEAGWA NA CHAMA HICHO
MWENYEKITI WA C.W.T SALAMA LUPENZA AMESEMA WAMEAMUA KUWAWEKEA SHEREHE NA KUWAPATIA BATI WALIMU WASTAAFU HAO KWAAJILI YA KUWAPONGEZA KWA KUVUMILIA MIAKA YOTE HADI YA KUSTAAFU KWAO.
MBUNGE WA JIMBO LA MAKAMBAKO DEO SANGA MAARUFU JA PEOPLE AKITOA HOTUBA YAKE KWA WALIMU WASTAAFU WA WILAYA YA NJOMBE
MWENYEKITI WA C.W.T WILAYA YA NJOMBE SALAMA LUPENZA AMESEMA WAMEAMUA KUWAWEKEA SHEREHE NA KUWAPATIA BATI WALIMU WASTAAFU HAO KWAAJILI YA KUWAPONGEZA KWA KUVUMILIA MIAKA YOTE HADI YA KUSTAAFU KWAO.
No comments:
Post a Comment