Bi.
Sadaka Gandi (mbele) mmoja wa wawasilishaji mada katika semina hiyo
akizungumza jambo kwa baadhi ya wanahabari. Semina hiyo kwa wanafunzi
wanaotarajia kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya
wanachuo iliandaliwa na Kampuni ya Bridge Tanzania Limited kwa
kushirikiana na DUFA chini ya udhamini Mkuu wa Banki ya NMB, pamoja na
wadhamini wengine wakiwemo PSPF, Crown Cartilage, ACCA na Clouds FM.
Baadhi
ya washiriki wa Semina hiyo kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo iliandaliwa na Kampuni ya
Bridge Tanzania Limited kwa kushirikiana na DUFA chini ya udhamini Mkuu
wa Banki ya NMB, pamoja na wadhamini wengine wakiwemo PSPF, Crown
Cartilage, ACCA na Clouds FM wakifuatilia mada anuani.

wadhamini wengine wakiwemo PSPF, Crown Cartilage, ACCA na Clouds FM. Meneja
wa Mafunzo na Maendeleo wa Benki ya NMB, Edith Mwiyombela (kulia)
akiwasilisha mada kwenye Semina kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo iliandaliwa na
Kampuni ya Bridge Tanzania Limited kwa kushirikiana na DUFA chini ya
udhamini Mkuu wa Banki ya NMB, pamoja na wadhamini wengine wakiwemo
PSPF, Crown Cartilage, ACCA na Clouds FM. Mhadhiri
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Amina Abdul ambaye pia ni Mratibu
wa Semina kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam na baadhi ya wanachuo akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na
wanahabari. Meneja
Mwandamizi wa Benki ya NMB Kitengo cha Wateja Wadogo, Ally Ngingite
akiwasilisha mada juu ya Matumizi Mazuri ya Fedha kwa washiriki. Mmoja
wa waratibu wa semina hiyo akitoa mwongozo kwa washiriki. Semina hiyo
kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na
baadhi ya wanachuo iliandaliwa na Kampuni ya Bridge Tanzania Limited kwa
kushirikiana na DUFA chini ya udhamini Mkuu wa Banki ya NMB. Meneja
Mwandamizi wa Benki ya NMB Kitengo cha Wateja Wadogo, Ally Ngingite
(kushoto) akimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi baada ya kujibu swali
kiufasaha.
Baadhi
ya washiriki wa Semina hiyo kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo iliandaliwa na Kampuni ya
Bridge Tanzania Limited kwa kushirikiana na DUFA chini ya udhamini Mkuu
wa Banki ya NMB, pamoja na wadhamini wengine wakiwemo PSPF, Crown
Cartilage, ACCA na Clouds FM wakifuatilia mada anuani.
Meneja
Mwandamizi wa Benki ya NMB Kitengo cha Wateja Wadogo, Ally Ngingite
(kulia mbele) akiwasilisha mada juu ya Matumizi Mazuri ya Fedha kwa
washiriki.
Meneja
wa Mafunzo na Maendeleo wa Benki ya NMB, Edith Mwiyombela (kulia)
akiwasilisha mada kwenye Semina kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo iliandaliwa na
Kampuni ya Bridge Tanzania Limited kwa kushirikiana na DUFA chini ya
udhamini Mkuu wa Banki ya NMB, pamoja na wadhamini wengine wakiwemo
PSPF, Crown Cartilage, ACCA na Clouds FM.
Baadhi
ya washiriki wa Semina hiyo kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo wakiwa kwenye banda la
mdhamini mkuu wa semina hiyo kujifunza shughuli mbalimbali wanazofanya.
Mmoja
wa wasilishaji mada kutoka Kampuni ya Bridge Tanzania Limited
akiwaelekeza wanasemina namna nzuri ya kutumia baadhi ya vifaa vya
'printer' na matumizi mazuri ya wino wa mashine hizo. Msanii
nyota Nick Wa Pili akiwasilisha mada kwenye Semina kwa wanafunzi
wanaotarajia kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya
wanachuo iliandaliwa na Kampuni ya Bridge Tanzania Limited kwa
kushirikiana na DUFA chini ya udhamini Mkuu wa Banki ya NMB, pamoja na
wadhamini wengine wakiwemo PSPF, Crown Cartilage, ACCA na Clouds FM.
Mmoja
wa wasilishaji mada kutoka Kampuni ya Bridge Tanzania Limited
akiwaelekeza wanasemina namna nzuri ya kutumia baadhi ya vifaa vya
'printer' na matumizi mazuri ya wino wa mashine hizo.
No comments:
Post a Comment