Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, July 23, 2016

makabidhiano ya halmashauri kwa wakurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa (Kulia) Ndg Twalib A. Mbasha akitoa  hati ya makabidhiano ya Wilaya kwa Mkurugenzi wa sasa wa Halmashauri hiyo Ndg Zabron I. Bugingo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Ndg Zabron I. Bugingo (Kushoto) akipata Picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hio Ndg Twalib A. Mbasha. Katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri Bwana Abubakar Mussa Mjaka.
Picha ya pamoja ya aliyekuwa Mkurugenzi na Mkurugenzi wa sasa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Pamoja nawakuu wa Idara/Wataalamu wa Halmashauri. Nyuma waliosimama wa katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri mwenye T-shirt. Picha na Bernad Mpangala.(Mchambuzi wa Mifumo Kilwa (W).

No comments:

Post a Comment