Jaji
Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman
(Katikati) akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadi
Kitunzi akimuelezea jambo alipotembelea jengo litakalotumika kuanzisha
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililoko kwenye Shule
ya Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam. Kulia ni Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali.
Hili
ni jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na
Uhujumu Uchumi lililopo kwenye Shule ya Sheria (Law School) Sinza jijini
Dar es salaam.
Jaji
Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman
(Katikati) akimuelezea jambo Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,
Hussein Kattanga alipotembelea jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama
Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililoko kwenye Shule ya
Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam. Kushoto ni Jaji Kiongozi
wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali.
No comments:
Post a Comment