Wakuu wa
Mikoa wakiwemo wakuu wa wilaya waliowakilisha mikoa yao wakiwa katika
ofisi za Shirika za Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) muda mfupi kabla ya
kuanza safari ya kimafunzo katika Hifadhi ya TAifa ya Tarangire.
Wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya wakiwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire .
Meneja
Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete
akitoa maelezo mafupi kwa Wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya kabla ya
kuanza safari ya kutembelea Hifadhi ya Tarangire.
Mkuu wa
Mkoa wa Manyara aliyekuwa mwenyeji wa wakuu wa mikoa hao,Joel Bendera
akitoa neno la ukaribisho kwa wageni hao baada ya kufika katika Hifadhi
ya Tarangire.
Mkuu wa
wilaya ya Tarime Glorious Luoga akichukua taswira wakati viongozi hao
wakitembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyoko mkoani Manyara.
Kundi la Tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Wakuu wa mikoa wakitizama wanyama.
Mnyama Ngiri katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Tumbili na mtoto wake mgongoni katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya wakitizama eneo moja wapo la chanzo cha Mto Tarangire.
Mkuu wa
Mkoa wa Simiyu ,Anthony Mtaka (kushoto) akizungumza jambo na Mkuu wa
mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Mecky Sadick walipokuwa wakitizama sehemu ya
chanzo cha Mto Tarangire.
Kaimu
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire Susuma Kusekwa akitoa
maelezo kwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya waliotembelea hifadhi ya
taifa ya Tarangire.
Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa wilaya wakiwa katika picha ya pamoja katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Wasaidizi wa wakuu wa Mikoa wakiwa katika picha ya pamoja katika Hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Mnyama aina ya Kuro katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Mkuu wa
Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka ambaye pia ni Raisi wa Shirikisho a Riadha
Tanzania akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mvomero,Betty Mkwasa ambaye pia ni
mke wa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ,Charles Mkwasa wakiwa ni miongoni
mwa viongozi waliotembelea Hifadhi za Taifa Tarangire.
Wakuu wa
Mikoa wakiwa katika moja ya hoteli zilizopo katika Hifadhi ya
hiyo,Tarangire Safari Lodge wakitizama wanyama waliokuwa wakivuka mto.
Kundi la Tembo likivuka mto .
Mandhari ya kuvutia ikionekana baada ya kufika katika Hotel ya Tarangire Safari Lodge.
Mkuu wa
mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky saidick pamoja na Mkuu wa Mkoa wa
Katavi,Meja Jenerali Mstaafu ,Raphael Mhuga wakitizama bidhaa katika
moja ya maduka yaliyopo katika Hoteli ya Tarangire Safari Lodge.
Mkuu wa
Mkoa wa Katavi,Meja Jenerali ,Raphael Mhuga akitoa neno la Shukrani kwa
niaba ya wenzake kwa uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA)
baada ya kuhitimisha ziara ya kimafunzo katika Hifadhi ya Taifa ya
Tarangire.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment