Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi akivishwa Skafu na Kijana wa
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Omari Salum, alipowasili Ofisi ya CCM
mkoa wa Pwani, Wilayani Kibaha mkoani humo leo. Katikati ni Katibu wa
CCM mkoa wa Pwani Joyce Masunga na kulia ni Katibu wa UVCCM wilaya ya
Kibaha, David Malecela.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajab Luhwaavi, akiongozana na Katibu wa CCM
mkoa wa Pwani, Joyce Masunga, kwenda Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani,
wilayani Kibaha leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwai akisalimia baada ya viongoi baada ya
kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, kuzungmza na wafanyakazi wa CCM
mkoa wa Pwani wilayani Kibaha leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwai akisalimia baada ya viongoi baada ya
kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, kuzungmza na wafanyakazi wa CCM
mkoa wa Pwani wilayani Kibaha leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwavi akisaibi kitabu cha wagei katika
Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, wilayani Kibaha leo. Kulia ni Katibu wa CCM
mkoa wa Pwani, Joyce Masunga.
Watumishi wa CCM wakimkaribisha ukumbini Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajab Luhwavi akiingia ukumbini kuzungumza na
wafanyakazi wa CCM wilaya za mkoa wa Pwani katika kikao alichofanya na
wafanyakazi hao katika Ofisi ya CCM ya mkoa iliyopo wilayani Kibaha.
Naibu Katibu Mkuu Luhwai baada ya kuwasili ukumbini
Katibu wa CCM mkoa wa Pwani Joyce Masunga akisoma taarifa
Katibu wa CCM mkoa wa Pwani Joyce Masunga akisoma taarifa
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwavi akizungumza na wafanyakazi wa CCM
kutoka wilaya zote za mkoa wa Pwani, katika kikao chake na wafanyakazi
hao kilichofanyika wilayani Kibaha mkoa wa Pwani. PICHA ZOTE NA BASHIR
NKOROMO.
No comments:
Post a Comment