Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya
Uchukuzi), Dkt. Leonard Chamuriho (kulia), akimkaribisha Katibu Mkuu
Kiongozi, Balozi, Eng. John William Kijazi kwenye Jengo la Ukumbi wa
Mikutano la Mwl. Julius Nyerere, wakati alipofika kufungua Mkutano wa
siku nne wa kujadili namna ya kuboresha utendaji wa Shirika la Reli la
Tanzania na Zambia (TAZARA).
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi, Eng. John WilliamKijazi (kushoto), akisalimiana
na ujumbe kutoka Nchini China ambao wanahudhuria Mkutano wa siku nne wa
kujadili namna ya kuboresha utendaji wa Shirika la Reli la Tanzania na
Zambia (TAZARA) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano la Mwl. Julius
Nyerere. Kushoto kwake ni Balozi wa China NchiniDkt. LU Youqing.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi),
Dkt. Leornard Chamuriho (kulia), akitoa hotuba yake kabla ya ufunguzi wa
Mkutano wa siku nne wa kujadili namna ya kuboresha utendaji wa Shirika
la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) unaofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano la Mwl. Julius Nyerere.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi, Eng. John William Kijazi,akitoa hotuba yake
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku nne unaozikutanisha Nchi Tatu
China, Tanzania na Zambia kujadili namna ya kuboresha utendaji wa
Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) unaofanyika katika Ukumbi
wa Mikutano la Mwl. Julius Nyerere.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi, Eng. John William Kijazi (kushoto), akimsiliza
Katibu wa Baraza la Mawaziri nchiniZambia, Dkt. Roland Msiska, wakati
wakijadili jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku
nneunazoikutanisha Nchi tatuza China, Tanzania na Zambia kujadili namna
ya kuboresha utendaji wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA)
unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano la Mwl. Julius Nyerere.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi, Eng. John William Kijazi(wa nne kulia waliokaa),
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa siku nne wa
kujadili namna ya kuboresha utendaji wa Shirika la Reli la Tanzania na
Zambia (TAZARA) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano la Mwl. Julius
Nyerere.
(Habari Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano)
No comments:
Post a Comment