Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikabidhi gari la wagonjwa kwa niaba ya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan
Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 1 Aprili, 2016.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikagua vifaa muhimu ndani ya gari la
Wagonjwa. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye
katika ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 1 Aprili, 2016.
Muonekano
wa Gari la Wagonjwa lililokabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
(Mb) kabla ya kukabidhi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan
Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu Aprili 1, 2016
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment