Kamishina
wa Operesheni na Mafunzo wa Makao Mkuu ya Jeshi la Polisi, Nsato
Mssanzya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya
Jeshi la Polisi nchini, linatoa muda wa miezi mitatu kwa ajili ya
kukamilisha zoezi la kuhakiki silaha kwa nchi nzima. Aidha jeshi la
polisi linawataka wamiliki wote wa silaha kutumia muda huo kulipia ada
ya umiliki wa silaha na kufanya uhakiki wa silaha zao.katika mkutano
uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waandishi
wa habari wakimsikiliza Kamishina wa Oparesheni na Mafunzo wa Makao
Mkuu ya Jeshi la Polisi, Nsato M.Mssanzya, katika mkutano uliofanyika
leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)
No comments:
Post a Comment