Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, March 24, 2016

SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA SABA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN


 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wananchi baada ya zoezi la kuapishwa pamoja na kukagua
gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa unaoashiria mwanzo
wa Uongozi wake kwa kipindi cha pili katika Uwanja wa Amaan Studium baada ya
kuapishwa rasmi  leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana
mkono na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame wakati
aliposalimiana  na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika
zoezi la kuapishwa  katika Uwanja wa Amaan Studium leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana
mkono na Mkuu wa KMKM Hassan MUssa Komodoo wakati aliposalimiana  na Wakuu
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika zoezi la kuapishwa
katika Uwanja wa Amaan Studium leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana
mkono na Kaimu Mkuu wa JKU Kanali Ali Mtumweni Hamadi wakati
aliposalimiana  na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya
kumalizika zoezi la kuapishwa  katika Uwanja wa Amaan Studium leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Makamanda wakati alipokuwa akikagua gwaride la Vikosi vya Brass
Band leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,baada ya kuapishwa rasmi
kwa kuongoza Zanzibar katika kipindi cha Pili cha Awamu ya saba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua
gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa katika Uwanja wa
Amaan Studium baada ya kuapishwa leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akitia
saini hati ya kiapo mbele ya Jaji Mkuu Mhe,Omar Othman Makungu baadanya
kumalizikika kwa zoezi hilo lililofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo
alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi baada ya zoezi la kuapishwa kushika
nafasi hiyo ya Urais kwa kipindi cha pili cha Uongozi katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja leo, 

Waaandishi wa Habari Wapigapicha wakijaribu kufanikisha kazi yao kupata matukio mbali
mbali wakati wa Sherehe za kumuapisha   kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein leo katika Uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja,
 
 WanaChama cha Mapinduzi na Wananchi wakiwa pamoja wakisherehekea kuapishwa kwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika
uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,pia wakiwepo Waandishi wa Habari
kushuhudia mambo mbali mbali yanayoendelea katika zoezi la kuapishwa kwa Rais,
 Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa leo katika sherehe za
Kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi
Mohamed Shein Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,
 Vijana wa Halaiki na Wananchi mbali mbali wakiwa katika jukwaa la Urusi Uwanja wa
Amaan Studium Mjini Unguja wakati wa Sherehe za Kumuapisha Rais  wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein le,
 Kikundimcha Taifa cha  Culture Muzicul Club kikitumbuiza wakati wa sherehe za
kumuapisha Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,
 Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisherehekea wakati wimbo wa (Mpewa hapokonyeki)
ulipoimbwa na Kikundi cha Taifa cha  Culture Muzicul Club wakati wa
sherehe za kumuapisha Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,
 Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisherehekea wakati wimbo wa (Mpewa hapokonyeki)
ulipoimbwa na Kikundi cha Taifa cha  Culture Muzicul Club wakati wa
sherehe za kumuapisha Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,
 Mabalozi wa nchi mbali mbali na Viongozi wakiwa katika sherehe za kumuapisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakisikiliza kwa makini hutuba iliyotolewa
na Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein leo katika sherehe za kuapishwa kwake katika Uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja .
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment