Waziri
ofisi ya Rais Tamisemi utumishi na utawala bora akikagua sahihi za
wanufaika wa TASAF awamu ya tatu kwa Manispaa ya Kigoma ujiji katika
mtaa wa kibwe kata ya Kagera.Na Editha Karlo wa blog ya jamii, Kigoma.
Mkurugenzi
mkuu wa TASAF Laslaudi Mwamanga akiongea na wanufaika wa TASAF awamu ya
pili katika mtaa wa kibwe Manispaa ya Kigoma ujiji baada ya kutembelewa
na kamati ya bunge ya tamisemu utumishi na utawaka bora.
Baadhi
ya wanufaika wa TASAF awamu ya wa mtaa Kibwe Kata ya Kagera Manisoaa ya
Kugoma wakimsikiliza waziri ofisi ya Rais Tamisemi, utumishi na utawala
bora aliyeambatana na wajumbe wa kamati ta bunge(amvao hawapi
pichani) kujionea jinsi wanavyopokea ruzuku za TASAF awamu ya nne.
Waziri Kairuki akikagua makaratasi ya walengwa wanaitakiwa kupatiwa ruzuku ya TASAF kama kaya maskini.
Mkurugenzi mkuu wa TASAF (mwenye miwani) akimueleza jambo Waziri Kairuki.
Waziri
ofisi ya Rais Tamisemi, utumishi na utawala bora Angela Kairuki
akielekezana jambo na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge Jason
Lweikiza wakati akikagua saini za walengwa wa tasaf awamu ya tatu.






No comments:
Post a Comment