Nape afanya ziara katika Kito cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete Sports Park.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa ziara maalumu
ya kutembelea Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park na
kushiriki siku ya Albino Tanzania iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa
ushirikiana na Chama cha Albino Tanzania.Kutoka kushoto ni Afisa
Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw. Paul Hinks, Mkufunzi wa Michezo
katika Kituo hicho Bw. Ray Power na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha
Alibino Tanzania Bw. Josephat Tomer.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa tatu kutoka kushoto) akimsikiliza
kwa makini Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Alibino Tanzania Bw. Josephat
Tomer wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha
Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania
iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa ushirikiana na Chama cha Albino
Tanzania.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa Kituo hicho
Bw. Richard Mtui, Afisa Mtendaji Mkuu wa Syjmbion Power Bw. Paul Hinks
na Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa tatu kutoka kushoto) akifuatilia
maelezokuhusu Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park kutoka
kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw. Paul Hinks (wa tatu kutoka
kushoto) wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki
siku ya Albino Tanzania leo jijjini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni
Meneja Uhusiano wa Serikali kutoka Symbion Power Bw. Hitesh Divecha,
Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power na Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Michezo Bw. Leornard Thadeo (wa tatu).kutoka kulia
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akitembela baadhi ya
miundombinu ya michezo iliyojengwa katika Kituo cha Michezo cha Jakaya
Kikwete Sports Park wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na
kushiriki siku ya Albino Tanzania iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa
kushirikiana na Chama cha Albino Tanzania.Kutoka kulia ni Mkufunzi wa
Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power, Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion
Power Bw. Paul Hinks na Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa Kituo hicho
Bw. Richard Mtui.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifuatilia maelezo kuhusu matumizi
ya baadhi miundombinu ya michezo iliyopo katika Kituo cha Michezo cha
Jakaya Kikwete Sports Park kutoka kwa Mkuu wa Utawala na Uendeshaji Bw.
Richard Mtui wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na
kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akichezea mpira wa Basket katika moja
ya viwanjwa vilivyopo katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete
Sports Park wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na
kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(mwenye miwani) akiangalia moja ya
viwanjwa vilivyopo katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports
Park wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku
ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiangalia mafuta ya ngozi
yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)wakati wa ziara
maalumu ya kutembelea Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park
na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(mwenye miwani) akifurahi pamoja na
baadhi ya wawakilishi wa Chama cha Albino Tanzania wakati wa ziara
maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park
na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
PICHA NA: FRANK SHIJA , WHUSM
No comments:
Post a Comment