MENEJA WA TANESCO MKOA WA NJOMBE JURIUS SABU AKIWA OFISINI KWAKE
WATAALAMU WA TANESCO WAKIELEKEA ENEO LA TUKIO KUWAKATIA UMEME NA KUMTAFUTA MSIMAMIZI WAKE
MTAALAMU WA TANESCO AKIONESHA NAMNA WALIVYOJIUNGANISHIA UMEME KUTOKA KIDATO MOJA KWA MOJA PASIPO KULIPIA TANESCO
HII NI MITA YA TANESCO AMBAYO IMECHEPUSHWA WAYA USIINGIE KWENYE MITA NA KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE VIBANDA
HIKI NI CHUMBA CHA SAROON YA KIKE AMBAKO MITA HIYO ILIKO
No comments:
Post a Comment