TATIZO NI NANI AMILIKI LESENI YA ENEO SERIKALI YA MTAA NDIYE MWENYE ENEO ANATAKIWA KUMILIKI LESENI KIKUNDI CHA JUA KALI NACHO KINATAKA KUMILIKI LESENI SASA NANI MWENYE HAKI YA KUMILIKI LESENI WANANCHI KWENYE MKUTANO WA HADHARA WAADHIMIA KAMA HAWATAKI WAONDOLEWE WOTE WACHIMBAJI UTARATIBU WA KUWASAJIRI UANZE UPYA ENEO LA SERIKALI YA MTAA WA SIDO.
HAWA NI WACHIMBAJI WA MADINI WADOGOWADOGO WAKIWA KWENYE MKUTANO
MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA SIDO RICHARD BIMBIGA AKIWA NA AFISA MADINI JOHN MAGANGA WALIPOTEMBELEA KWA MARA YA KWANZA ENEO LA MACHIMBO .
MADINI AINA YA MAWE YANAYOPATIKANA ENEO LA MTAA WA SIDO
KOKOTO ZINAZOANDALIWA NA WACHIMBAJI HAO WADOGO NJOMBE
Serikali Ya Mtaa Wa Sido Mjini Njombe Imesema Bado Inaendelea Na Jitihada Za Kuhakikisha Inakwenda Kukata Leseni Ya Machimbo Ya Madini Ya Mawe Yaliopo Eneo La Ganga Lyandefu Ambalo Wachimbaji Waliopo Wanataka Kukata Reseni Ya Umiliki Wake Huku Serikali Ya Mtaa Huo Ikisema Anayestahili Kumiliki Reseni Ni Mtaa Wa Sido Na Siyo Kikundi.
Kauli Hiyo Imetolewa Na Mwenyekiti Wa Serikali Ya Mtaa Wa Sido Richard Bimbiga Kufuatia Makubaliano Ya Wananchi Wa Mtaa Huo Ya Kwenye Mkutano Wa Hadhara Uliofanyika Decemba 20 Mwaka Huu Ambao Makubaliano Ya Wananchi Wake Ni Kutaka Eneo Hilo La Machimbo Reseni Yake Imilikiwa Na Serikali Ya Mtaa Ili Kila Mmoja Anufaike Na Machimbo Hayo.
CUE....MWKT SIDO
Aidha Bimbiga Amesema Mmili Wa Eneo Hilo La Machimbo Ni Serikali Ya Mtaa Wa Sido Na Kwamba Kutokana Na Wananchi Kutaka Serikali Imiliki Leseni Ya Machimbo Hayo ,Wachimbaji Waliopo Sehemu Hiyo Kwa Sasa Wanapaswa Kufuata Utaratibu Wa Serikali Ya Mtaa Tofauti Na Hapo Hatua Za Kuwaondoa Kinguvu Zitafuata Na Usajiri Wa Wachimbaji Utaanza Upya.
Afisa Mtendaji Wa Serikali Ya Mtaa Wa Sido Rehema Ngairo Amesema Hapo Awali Kabla Ya Kuupata Uongozi Uliotokana Na Uchaguzi Wa Mwezi Decemba Mwaka Jana Walikuwa Wakichukua Ushuru Kwenye Eneo Hilo Lakini Watu Wa Madini Walipoingia Na Kushawishi Wachimbaji Hao Wawe Na Leseni Ndipo Serikali Ya Mtaa Huo Iliamua Kuacha Kuchukua Ushuru Kutokana Na Muingiliano Uliokuwepo.
Awali Wakizungumza Kwa Nyakati Tofauti Baadhi Ya Wananchi Wa Mtaa Wa Sido Wamesema Kutokana Na Makubaliano Waliokubaliana Kwenye Mkutano Wa Mtaa Huo Ni Vema Serikali Ya Mtaa Ikate Leseni Ya Machimbo Hayo Ili Mtaa Mzima Unufaike Na Eneo Hilo Huku Wakitaka Wachimbaji Kuacha Kung'ang'ania Kukata Leseni Hiyo Kwani Mmiliki Wakr Ni Serikali Ya Eneo Hilo.
Hivi Karibuni Maafisa Madini Mkoa Wa Njombe Waliagiza Wachimbaji Hao Kukubaliana Na Serikali Ya Mtaa Ili Kufikia Maamuzi Ya Umiliki Wa Leseni Na Endapo Hawatafikia Mwafakata Wa Sakata Hilo Watalazimika Kufungia Eneo Hilo Lisitumiwe Na Wachimbaji Wowote Lakini Wachimbaji Hao Bado Hawajaridhika Na Maamuzi Hayo.
No comments:
Post a Comment