Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, December 26, 2015

JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO


SEM1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015
SEM2
Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015
SEM3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza  Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  baada ya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment