Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa
Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika
Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015
Sehemu
ya waumini katika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la
Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa
Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika
Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa
Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika
Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Muadhama Askofu Mkuu
Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam aliyemkaribisha
kusalimia wananchi bada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismas misa ya
kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba
25, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kushiriki Ibada ya Krismas misa
ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo
Desemba 25, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi
mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa
la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.

No comments:
Post a Comment