MAJLIWA AWASILI KIGOMA KWA ZIARA YA SIKU MBILI
Waziri Muu, Kassim Majliwa
akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma
kwa ziara ya siku mbili mkoani humo Desemba 28, 2015. Kulia kwake ni
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akisalikiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo
Desemba 28, 2015. Kushoto ni Mwenye kiyi wa CCM wa mkoa wa Kigoma, Walid
Kabourou. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment