Ligi Kuu ya Zanzibar Mafunzo na KMKM Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao 1--1
Mshambuliaji
wa timu ya Mafunzo akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya KMKM
akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar
uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao
1--1.
Beki wa Timu ya Mafunzo akiondoa mpira golini kwao,
Mshambuliajhi wa Timu ya KMKM na Beki wa Timu ya Mafunzo wakiwania mpira.
Mshamuliaji
wa Timu ya KMKM akimiliki mpira huku beki wa Timu ya Mafunzo akijiandaa
kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zabnzibar uliofanyika
uwanja wa amaan timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Beki wa timu ya Mafunzo akiondoa mpira golinin kwao, huku mshambuliaji wa timu ya KMKM akiwa tayari kuleta madhara.
Mshambuliaji wa Timu ya KMKM akipiga mpira golini kwa timu ya Mafunzo.
Kocha
wa Timu ya Mafunzo Hemedi Moroko akitowa maelekezo kwa wachezaji wake
wakati wa mchezo wao na Timu ya KMKM uliofanyika uwanja wa Amaan Timu
hizo zimetoka sare ya bao
1--1
Mchezaji wa Timu ya Mafunzo na KMKM wakiwania mpira.
Kipa
wa Timu ya KMKM akidaka mpira wakati wa mchezo wao na timu ya Mafunzo
uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Mshambuliaji
wa timu ya Mafunzo akijiandaa kumpita beki wa timu ya KMKM wakati wa
mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu hizo
zimetoka
sare ya bao 1--1
Mchezaji wa Timu ya KMKM na Mafunzo wakiwania mpira.
Kocha
Mkuu wa Timu ya KMKM Ali Bushiri (Bush) akiwakaripia wachezaji wake
wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan
Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Beki
wa timu ya KMKM akimkata mtama mshambuliaji wa timu ya Mafunzo wakati
wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan
Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Mchezaji
wa Timu ya Mafunzo na Kmkm wakishindana nguvu wakiwania mpira wakati wa
mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar
Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com
No comments:
Post a Comment