Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, December 10, 2015

JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE LA SHIRIKI USAFI BEGA KWA BEGA MJINI NJOMBE


 KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE WILBROAD MUTAFUNGWA AKIWA KWENYE ZOEZI LA USAFI NA KIKOSI CHAKE MJINI NJOMBE
 






 ENEO LA SOKO KUU NJOMBE MJINI  MAGARI YA KUZOA TAKA YAPO KAZINI SASA LAKINI VIZIMBA VYANG'OLEWA




HAPA KAZI TU KILA MMOJA AWAJIBIKE KATIKA SUALA LA USAFI WA MAZINGIRA

No comments:

Post a Comment