Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakijipatia kitoweo na mafuta
ya samaki mkubwa jamii ya
nyangumi aliyeonekana Novemba 13 katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo
la
Coco Beach jijini Dar es Salaam. Wakazi hao waliofika katika eneo hilo
huku wakiwa na vyombo vya kubebea mafuta ya samaki huyo. Mashuhuda hao
walisema kuwa mafuta yake ni dawa ya watoto, hata hivyo wataalam wa afya
hawakuweza kupatikana kuelezea usalama wa nyama ya samaki huo pamoja na
mafuta yake.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay Zefrin Lubuva alizitaka mamlaka zinazohusika na afya kufika na kuthibitisha usalama wa kitoweo hicho kwa afya za wakazi hao. (Picha na Francis Dande)
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay Zefrin Lubuva alizitaka mamlaka zinazohusika na afya kufika na kuthibitisha usalama wa kitoweo hicho kwa afya za wakazi hao. (Picha na Francis Dande)
Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakijipatia kitoweo na mafuta
ya Samaki mkubwa jamii ya Nyangumi aliyeonekana Novemba 13 katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la
Coco Beach jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment