Jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed
Chande Othman (wa tatu kutoka kulia) katika picha ya pamoja na
watendaji kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
walipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni, Kulia kwake ni Katibu Mkuu
Wizara ya Ardhi, Alphayo Kidata akifuatiwa na Subira Sinda Msajili wa
Hati. Nyuma ya Katibu Mkuu ni David Mushendwa Kamishna wa ardhi Msaidizi
Sheria, Blasia Kibano (Wa kwanza kulia) aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo
cha Sheria pamoja na Juma Lughela.
No comments:
Post a Comment