Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, August 6, 2015

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA KOMBE LA KAGAME CECAFA TOKA KWA TI MU YA AZAM FC IKULU DAR ES SALAAM LEO

by John Bukuku on August 6, 2015

unnamed (24)
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsikiliza Meneja wa Klabu bingwa wa Kombe la Kagame na 
mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015
unnamed (25)
Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015
unnamed (27)
Rais Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya  Kagame ya CECAFA  na nahodha wa  
mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015
unnamed (28)

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment