Sehemu ya Msitu wa Nyumbanitu
Msitu wa Nyumbanitu
Katibu wa Chama Cha Waganga wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Mkoa wa Njombe Dokta Joseph Mkolwe akisalimiana na Chief wa Kabila la Wabena Mkoa wa Njombe Dokta Elias Mkongwa akiwasili katika Msitu wa Nyumbanitu Wilayani Wanging'ombe leo kusimikwa.
Ng'ombe achinjwa na kuchomwa motoni na kufanywa kitoweo
Chifu Elias Mkongwa Asimikwa kuwa mkuu wa kabila la wabena Mkoa wa Njombe.
PICHA
Na Gabriel Kilamlya
No comments:
Post a Comment