WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BUNGENI BAJETI KWA MWAKA 2015/16
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (Mb) akionyesha
Begi la Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 wakati
anawasili katika Viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (MB) akiwasilisha bungeni
Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16, Mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment