KABILA LA WAMASAI WAKIONESHA KIAJI CHAO CHA NGOMA ZA ASILI YA KIMASAI SIKU YA MWENGE ULIPOKWENDA KWENYE MRADI HUO

MKURUGENZI WA SURPRISE BEACH BWANA PARTRICK KYANDO JINA LA KIBIASHARA STAR INTEGRATED AKISOMA RISALA FUPI MBELE YA MGENI RASMI AMBAYE NI KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA KWA MWAKA 2015.
NGOMA NYINGINE HIYO YA ASILI KILA SIKU BURUDANI YA KUTOSHA YA NYIMBO MBALIMBALI ZA ASILI NA ZA MUZIKI WA ZAMANI KUPITIA BAND YA MAON JAZZ MAARUFU KAMA WANAKIMSEGESA
HAPA NI MLANGONI KABLA HUJAINGIA NDANI YA SURPRISE BEACH GETINI HAPA
VIJANA WAKIOGELEA NA MITUMBWI KWENYE BWAWA LA SURPRISE BEACH
SEHEMU ZA KUPUMZIKA,CHAKULA NA KADHALIKA
No comments:
Post a Comment