Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Monday, June 29, 2015

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AKUATANA NA RAIS WA ZANZIBAR ALI MOHAMED SHEIN-IKULU ZANZIBA -JUNI 29, 2015



01
02
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule
alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo Juni 29, 2015.
03
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule baada ya
mazungumzo yao alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment